Mandela anakujia Leah

12 months ago 34

Sheng Mwangi Wa Mahugu ‘Zii,’ msee alidai,’Freedom si yaku-chongwa kwa brain ’ba ma-shengerere kwa miguu ya veteranmzito wa Robben Island.‘Zii’, ngeus alidai, ufahamu hai-achi room ya mpenyo’-Kuingizia lakini si kuingiza njeve, face ya ngeus wa Pakistan.Zii’ m-she alisema, ’imani...

Sheng

Mwangi Wa Mahugu

‘Zii,’ msee alidai,’
Freedom si yaku-chongwa kwa brain ’ba ma-shengerere kwa miguu ya veteran
mzito wa Robben Island.
‘Zii’, ngeus alidai, ufahamu hai-achi room ya mpenyo’-
Kuingizia lakini si kuingiza njeve, face ya ngeus wa Pakistan.
Zii’ m-she alisema, ’imani si ya kulazimishwa’-
Voice imeshikwa, imetulia but imechorea design ya Dapchi.
Light ya torch haiko dim kwa marima za mbogi.
Yani, ukipita time, voice ngori inajirudia-
Mandela, Malala, Leah Sharibu-torch naare ya Zii, alidai ule titan Prometheus, mwanga na anthem, ikapatha thaande,
faya ina ma layers ika lipukua through Chibok na Dapchi,
iki-illuminate dunia.

Read the English translation – Mandela Comes to Leah by Prof. Wole Soyinka 


Mwangi Wa Mahugu pen name Mwas Mahugu is a writer and an afro -hip hop artist, a pioneer sheng writer published by kwani Trust in several editions, his literature is inspired by people and it revolves around love and hate, conformity and rebellion, innocence and experience. He is the coordinating Trustee East Africa rise Up Project; a music & development movement project running CO-OP projects in Tanzania, Uganda, Kenya, and Malawi. When not writing, he is recording music, coordinating music events and managing artists. He writes to discover and to tell stories, since he believes artist and writers are mirror of society. Mwas is a part of jalada Africa collective.


View Entire Post

Read Entire Article